Tunapatikana Ubunbo Mawasiliaino Soko la Wamachinga
Dar es Salaam
Ubungo Mawasiliano
"Tumedhamiria kuwafanya watumiaji wa bidhaa zetu kuwa na ngozi yenye muonekano mzuri na wa asili bila kuathiri afya zao"
Quantity | Price per item | Discount |
12 items | Sh1 500.00 | 50% off |
50 items | Sh1 000.00 | 67% off |
Sabuni hii ya mchele tofauti na zile sabuni za kawaida ina viambato vya asili vitokanavyo na mimea ambavyo huifanya sabuni hii pamoja na kuondoa uchafu mwili kuwa na sifa ya ziada ya kurekebisha baadhi ya matatizo ya kwenye ngozi kama ifuatavyo:
KUPATA BIDHAA HII WASILIANA NA HAWA WAFUATAO:-
S/N | Eneo alipo | TAFADHALI BOFYA LINK KUWASILIANA NA MHUSIKA KWA WHATSAPP |
|
|
1 | ||||
Mabibo External | Mr. Anold Francis | |||
Mabibo External | Mr. Omary Kibuzi | |||
2 | ||||
3 |
Kunyumba Natural Products ni kampuni ya kitanzania inayozalisha sabuni na vipodozi vya asili kwa kutumia malighafi za asili.
Dhamira yetu ni kuwasaidia watanznaia kuwa na ngozi yenye afya, mng'aro na muonekano mzuri wa asili kutokana na matumizi ya sabuni na kuwa vitamini na madini vilivyopo kwenye mimea na wanyama vinatosha sana kufanya ngozi na nywele zetu kuonekana vizuri.
John Mwingira
Managing Director