Tunapatikana Ubunbo Mawasiliaino Soko la Wamachinga
Dar es Salaam
Ubungo Mawasiliano
"Tumedhamiria kuwafanya watumiaji wa bidhaa zetu kuwa na ngozi yenye muonekano mzuri na wa asili bila kuathiri afya zao"
Kunyumba Natural Products ni kampuni ya kitanzania inayozalisha sabuni na vipodozi vya asili kwa kutumia malighafi za asili.
Dhamira yetu ni kuwasaidia watanznaia kuwa na ngozi yenye afya, mng'aro na muonekano mzuri wa asili kutokana na matumizi ya sabuni na kuwa vitamini na madini vilivyopo kwenye mimea na wanyama vinatosha sana kufanya ngozi na nywele zetu kuonekana vizuri.
John Mwingira
Managing Director